Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Banda kuikamua Mil. 600 Chippa United

Abdi Banda 1140x640 Banda kuikamua Mil. 600 Chippa United

Sat, 26 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa Richardsbay FC au Natal Rich Boys, Mtanzania Abdi Banda ameshinda kesi aliyoifungua dhidi ya timu yake ya zamani Chippa United ambayo sasa inatakiwa kumlipa Randi 4.5 milioni (sawa na Sh 600 milioni).

Kupitia mwanasheria wake, Lyrique de Plessis raia wa Uingereza, Banda alifungua kesi FIFA kudai mkataba wake baada ya Chippa kuuvunja kinyume cha sheria.

Banda alisema kukataa kupunguza mshahara ni sababu ya waajiri wake kusitisha mkataba na kuamua kukimbilia FIFA.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live