Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Banda awaponza Chippa United FIFA

Abdi Banda Beki wa Richardsbay FC, inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini, Mtanzania Abdi Banda

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Chippa United ya Afrika Kusini imefungiwa na FIFA kufanya usajili wa wachezaji mpaka pale itakapomlipa Beki wa Kimataifa wa Tanzania, Abdi Banda kiasi cha Shilingi Milioni 160 ambazo ni pesa anazoidai Klabu hiyo.

Klabu ya Chippa United ya Afrika Kusini imefungiwa na FIFA kufanya usajili wa wachezaji mpaka pale itakapomlipa Beki wa Kimataifa wa Tanzania, Abdi Banda kiasi cha Shilingi Milioni 160 ambazo ni pesa anazoidai Klabu hiyo. Banda kwa sasa ameachana na Klabu hiyo na anakipiga katika Klabu ya Richards Bay FC ya humo humo Afrika ya Kusini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live