Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Banda apata Timu mpya Sauzi

Abdi Banda Chippa Utd.jpeg Abdi Banda

Tue, 1 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Richards Bay FC ya Afrika Kusini imethibitisha kumsajili beki kisiki Abdi Banda kutoka klabu ya Chippa United ya Nchini humo.

Klabu ya Richards Bay FC ya Afrika Kusini imethibitisha kumsajili beki kisiki Abdi Banda kutoka klabu ya Chippa United ya Nchini humo. Banda (28) raia wa Tanzania amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia klabu hiyo almaarufu Natal Rich Boys inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini mpaka 2025.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live