Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Balozi wa Uingereza aitembelea Simba SC

Balozi Wa Uingereza Aitembelea Simba SC.jpeg Balozi wa Uingereza aitembelea Simba SC

Tue, 31 Oct 2023 Chanzo: Voa

Balozi wa Uingereza nchini, David Concar anatarajia kutembelea mazoezi ya Simba SC leo katika Viwanja vya MO Simba Arena maeneo ya Bunju Jijini Dar es Salaam.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo, Imani Kajula ameeleza kuwa, lengo la zaiara hiyo ni kuongeza nguvu katika soka la vijana lakini pia, amefurahi kuona Simba inavyoweka nguvu katika soka la wanawake.

"Amesema amevutiwa sana na mafanikio ya Simba na hii ni kutokana na mafanikio tuliyoyaonesha kwenye kombe la African Footbal League, tunakwenda naye Bunju aende akaione timu mazoezini," alisema Imani.

Chanzo: Voa