Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Balotelli kusaini Brazil

Super Mario Balotelli.jpeg Straika, Mario Balotelli

Sun, 14 Jul 2024 Chanzo: Mwanaspoti

Mchezaji wa zamani wa Manchester City, Liverpool na timu ya Italia Mario Balotelli, 33, yupo katika mazungumzo na Corinthians ya Brazil ili kujiunga nayo katika dirisha hili kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Adana Demirspor ya Uturuki.

Mchezaji wa zamani wa Manchester City, Liverpool na timu ya Italia Mario Balotelli, 33, yupo katika mazungumzo na Corinthians ya Brazil ili kujiunga nayo katika dirisha hili kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Adana Demirspor ya Uturuki. Balotelli ambaye msimu uliopita alicheza mechi 16 za michuano yote na kufunga mabao saba.

Chanzo: Mwanaspoti