Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Balotelli: Ronaldo anastahili heshima kwa aliyoyafanya kwenye Soka

Balloteli Vs Ronaldo Ronaldo anastahili heshima kwa aliyoyafanya kwenye Soka

Tue, 13 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa zamani wa Manchester City, Liverpool na Inter Milan ya Italia Mario Balotelli, amesema nyota wa kimataifa wa Ureno Cristiano Ronaldo anastahili heshima kwa aliyoyafanya kwenye mpira wa miguu bila kujali wewe ni shabiki yake au vinginevyo.

"Mimi sio shabiki wa Ronaldo na kila mtu analijua hilo ila kwa aliyoyafanya kwenye mpira anastahili kupewa heshima" amesema Balotelli

Kauli hiyo inakuja baada ya Ronaldo kushambuliwa kila kona na wapenda soka kutokana na matukio yake ya hivi karibuni ndani ya Man United na Timu ya Taifa ya Ureno.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live