Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#Ballond'OrUPDATES: Chelsea timu bora ya mwaka

Chelsea Chelsea Mabingwa wa Ulaya, Chelsea wamenyakua tuzo ya klabu bora ya mwaka

Tue, 30 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vijana wa Thomas Tuchel, Kikosi cha the Blues kimefanikiwa kunyakua tuzo ya timu bora ya mwaka.

Chelsea inabeba tuzo hiyo baada ya kushinda ubingwa wa Ulaya mbele ya vigogo kutoka England Manchester City.

Ni wazi kuwa Chelsea imestahili kupata tuzo hiyo kwa kuwa ni moja ya timu iliotoa wachezaji wengi ambao walikua wakiwania Tuzo ya Ballon D'or.

Wachezaji watano wa Chelsea waliingia katika kinyang'anyiro ambao ni Cesar Azpilicueta, Jorginho, Ngolo Kante, Mason Mount na Rumelu Lukaku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live