Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#Ballon d'Or UPDATES: Walioingia Tano bora

Ballon D'or Kilele cha Tuzo za Ballon D'or

Mon, 29 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hatimaye wamebaki wachezaji watano ambao wameingia tano bora "Top five" ambao ni Karim Benzema, Jorginho, Ngolo Kante, Roberto Lewandowski na Lionel Messi.

Hatimaye wamebaki wachezaji watano ambao wameingia tano bora "Top five" ambao ni Karim Benzema, Jorginho, Ngolo Kante, Roberto Lewandowski na Lionel Messi. Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2010, jina la Cristiano Ronaldo halijatikea katika tano bora.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live