Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#Ballon d'Or UPDATES: Messi abeba tuzo ya Saba ya Ballon D'or

Messi La Pulga Lionel Messi, mshindi wa tuzo ya Ballon D'or 2021

Mon, 29 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Klabu ya PSG, Lionel Messi amenyakua kwa mara ya saba tuzo ya Ballon D'or akimfunika mpinzani wake wa karibu Robert Lewandowski.

Messi amebeba tuzo hiyo akiwabwaga wachezaji wengine 29 kwa ujumla waliokuwa katika kinyang'anyiro.

kwa miaka mingi ya hivi karibuni tuzo hiyo ilitawaliwa na majina makubwa mawili Ronaldo na Leonel Messi kabla ya Modric kuingilia kati.

Katika tuzo za usiku wa leo , Ronaldo hakuwepo ukumbini lakini pia aliishia namba sita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live