Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baleke kutua Yanga?

Baleke Libya Jean Baleke na kiongozi wa Al Ittihad

Fri, 5 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Klabu ya Al Ittihad ya Libya Jean Othos Baleke ambaye yupo kwa mkopo kwenye klabu hiyo akitokea TP Mazembe amekua na kiwango bora tangu alipotua kwenye ligi hiyo kwa kufunga bao 3 kwenye mechi 4.

Baleke ambaye msimu uliopita alikua kwenye kikosi cha Simba ameweka wazi kua atarejea kwenye Ligi kuu Tanzania bara lakini hakutaja kwenye klabu ipi ila kathibitisha kuna klabu tatu zinamtaka.

Miongoni mwa vilabu vinavyotajwa kutaka saini yake ni Yanga SC na Azam FC huku Simba ikiwa haina mpango nae kwani wamemwachia katika dirisha dogo baada ya kutoridhishwa na kiwango chake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live