Thu, 18 Jul 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mshambuliaji, Jean Othos Baleke (23) amesafiri na kikosi cha Yanga kuelekea Nchini Afrika Kusini Kwa ajili ya mechi za maandalizi ya kuelekea msimu mpya 'pre-season'.