Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baleke aonekana kwenye msafara wa Yanga Safari ya Sauzi (+Video)

GSd8vnTXwAAwYsH.jpeg Baleke aonekana kwenye msafara wa Yanga Safari ya Sauzi

Thu, 18 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyewahi kuwa Straika wa Simba, Jean Baleke ameonekana Uwanja wa ndege leo Julai 18 akiwa katika msafara wa Klabu ya Yanga wakielekea nchini Afrika ya Kusini kwa michuano maalum ya Mpumalanga Cup.

Baleke alikuwa akizungumzwa kujiunga na Yanga na hii huenda ikawa ni taarifa ya kweli, Tazama Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live