Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baleke, Chama na Aishi kuwania tuzo mcheza bora

Simba SC Tuzo Baleke, Chama na Aishi kuwania tuzo mcheza bora

Wed, 29 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Simba SC, Jean Baleke, Clatous Chama na Aishi Manula, wameteuliwa kuwania Tuzo za Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) kwa mwezi Machi, 2023.

Nyota wa Simba SC, Jean Baleke, Clatous Chama na Aishi Manula, wameteuliwa kuwania Tuzo za Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) kwa mwezi Machi, 2023. Hii si mara ya kwanza kwa Chama kuwania tuzo hiyo, mara kadhaa ameteuliwa na kushinda. Kwa upande wa Baleke ndiye hii ni mara ya kwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live