Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Balde aitwa kuziba pengo la Balde Qatar

Balde Alejandro Alejandro Balde

Fri, 18 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Spain imethibitisha kuwa beki wa kushoto wa Barcelona, Alejandro Balde atakuwa mbadala wa José Gaya aliyepata jeraha kwenye kifundo cha mguu na kuondolewa kwenye kikosi cha Spain kitakachopambania kunyakuwa Kombe la Dunia huko Qatar.

Timu ya Taifa ya Spain imethibitisha kuwa beki wa kushoto wa Barcelona, Alejandro Balde atakuwa mbadala wa José Gaya aliyepata jeraha kwenye kifundo cha mguu na kuondolewa kwenye kikosi cha Spain kitakachopambania kunyakuwa Kombe la Dunia huko Qatar. Michuano ya Kombe la Dunia itaanza Novemba 20 mwaka huu nchini Qatar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live