Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Balaa la Yanga lampagawisha Pitso Mosimane, atoa neno

Yanga Ubingwa Shangwe.jpeg Yanga leo Juni 26 ilifanya balaa kubwa Jijini Dar

Sun, 26 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa kocha mkuu wa Al Ahly ya Misri na Mamelod Sondown ya Afrika Kusini, Pitso Mosimane naye avunja ukimya kwa kuwasifia Yanga kwa namna ambavyo wamelipokea Kombe la Ligi kuu.

Mosimane ameutumia mtandao wa Twitter kuipongeza Yanga huku akizishauri klabu zingine za Afrika kufanya kile ilichokifanya Yanga katika shughuli zao za kulipokea Kombe la Ligi.

"Hongera sana Yanga, Afrika pia inaweza kufanya gwaride lao la kombe kama timu za Ulaya.Tunahitaji kuona zaidi ya gwaride hizi kwa sababu inaonyesha upendo na shauku ya wafuasi wa soka la Afrika."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live