Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Balaa la Yanga Machi liko hivi

Yanga Bamako Bns Balaa la Yanga machi liko hivi

Wed, 1 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni Machi Mosi 2023 ikiwa ni ukurasa mwingine ambao unaanza kufunguliwa kwa sasa. Yanga wao wana kazi kwenye anga la kitaifa na kimataifa na wana vigongo vya kucheza kusaka ushindi.

Hivi hapa vigongo vya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Nasreddine Nabi ndani ya Machi zipo namna hii:-

Yanga v Prisons Machi 3 huu ni mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 16 bora.

Yanga v Real Bamako Machi 8,2023 huu ni mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi.

Yanga v Geita Gold, itakuwa ni Machi 12, huu ni wa Ligi Kuu Bara.

Yanga v US Monastir itakuwa ni Machi 19 Uwanja wa Mkapa huu ni wa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live