Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Balaa jipya Man United, Beki wake kufanyiwa upasuaji

Lisandro Martinez United Lisandro Martinez

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Lisandro Martínez atafanyiwa upasuaji wa jeraha lake kwa mara ya pili na atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi Miwili Mpaka Mitatu.

Lisandro Martínez atafanyiwa upasuaji wa jeraha lake kwa mara ya pili na atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi Miwili Mpaka Mitatu. Tayari Man United inakabiliwa na idadi kubwa ya majeruhi kipindi hiki ambacho wanapambana kurudisha ari ya ushindi kikosini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live