Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bad News: Peter Banda nje miezi mitatu

BANDA MAJERUHI2 Peter Banda akiuguza majeraha

Mon, 21 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa kikosi cha Simba, Peter Banda leo ameainisha kuwa anaendelea vizuri na baada ya wiki mbili atarejea kwa daktari kwa ajili kufanya vipimo tena.

Banda ambaye ni raia wa Malawi aliumia katika mchezi wa SImba hdidi ya Singida Big Stars ambapo alifanikiwa kufunga bao la kusawadhisha na mchezo huo kumalizika kwa sare ya bao 1-1.

Aidha, Banda amesema atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi mitatu hivyo kwa mujibu wa daktari, atarejea uwanjani mnamo Februari mwaka 2023.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, banda ameandika;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live