Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bacca aukosa mchezo dhidi ya Medeama

Bacca Out Leo Beki wa Yanga, Ibrahim Bacca

Wed, 20 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa Yanga, Ibrahim Bacca ataukosa mchezo wa leo dhidi ya Medeama kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano.

Beki wa Yanga, Ibrahim Bacca ataukosa mchezo wa leo dhidi ya Medeama kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano. Yanga inacheza na Medeama mchezo wa Kundi D hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: