Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bacca asaini Mkataba mpya Yanga

Fc Bacca Ibrahim Bacca

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa za uhakika kutoka katika Klabu ya Yanga zinasema beki wa kitasa wa Klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Ibrahim Hamad 'Bacca' amesaini Mkataba wa Miaka mitatu wa kuendelea kusalia Jangwani mpaka June 30,2027.

Taarifa za uhakika kutoka katika Klabu ya Yanga zinasema beki wa kitasa wa Klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Ibrahim Hamad 'Bacca' amesaini Mkataba wa Miaka mitatu wa kuendelea kusalia Jangwani mpaka June 30,2027. Mkataba wa sasa wa beki huyo mzaliwa wa Zanzibar ulikuwa unamalizika mwezi Desemba mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: