Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bacca aongezewa mkataba mnono Yanga SC

Ibrahim Bacca Bacca aongezewa mkataba mnono Yanga SC

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki kisiki wa Yanga SC, Ibrahim Bacca ameongezewa mkataba wake mpaka mwaka 2027.

Akizungumza na Wasafi FM, Afisa wa habari wa Yanga SC, Ally Kamwe, amesema uongozi umemuongezea mkataba huo kutokana na kutambua umuhimu wake kikosini.

"Bacca ni mchezaji mzuri, tumemuongezea mkataba mrefu zaidi kuwahi kutokea kwenye historia ya soka," alisema Kamwe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live