Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba mzazi wa Mainoo avurugwa uwanjani

Maino Msz.jpeg Baba mzazi wa Mainoo avurugwa uwanjani

Wed, 19 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baba Mzazi wa Kobbie Mainoo’s hapo ilimbidi asimame wakati Kijana wake akiwa anaingia Uwanjani akichukua nafasi ya Jude Bellingham katika dakika ya 86 ya Mchezo.

Furaha yake Kubwa ni kuwa katika siku Maalumu ya Wakina Baba Duniani na ndo Kijana wake kwa mara ya Kwanza anaitumikia timu yake ya Taifa katika Moja ya Michuano mikubwa.

Katika Mchezo huo Uingereza iliibuka na Ushindi wa Mabao 1-0 dhidi ya Serbia, Juni 16, 2024.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live