Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baada ya mchujo, hawa ndio wachezaji, Timu zinazowania tuzo za CAF 2023

IMG 4250 Mbowe Yanga.jpeg Kikosi cha Yanga

Sat, 18 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Orodha ya mwisho ya wanao wania Tuzo mbali mbali za CAF 2023

(The Final CAF Awards Nominees)

Timu zinazo wania Tuzo ya timu bora ya taifa ya Mwaka ya CAF kwa upande wa wanaume (CAF National Team of the Year) (Men) Nominees:

The Gambia

Equatorial Guinea

Mauritania

Morocco

Senegal

Vilabu vinavyo wania tuzo ya klabu bora ya mwaka ya CAF kwa upande wa Wanaume (CAF Club of the Year Men) Nominees:

USM Alger - Algeria

Al Ahly - Misri

Wydad Athletic Club- Morocco

Mamelodi Sundowns- Afrika Kusini

Young Africans - Tanzania

Orodha ya majina ya makocha wa kiume wanaowania Tuzo ya kocha bora wa Mwaka wa CAF (CAF Coach of the Year Men) Nominees:

Abdelhak Benchikha (USMA)

Marcel Koller (Al Ahly)

Tom Saintfiet (Gambia)

Walid Regragui (Morocco)

Aliou Cisse (Senegal)

Majina ya makipa wanaowania tuzo ya golikipa bora wa mwaka kwa upande wa kiume

(CAF Goalkeeper of the Year Men) Nominees:

Mohamed El Shenawy (Egypt and Al Ahly)

Yassine Bounou (Morocco & Al Hilal)

Andre Onana (Cameroon and Manchester United)

Ronwen Williams (South Africa and Mamelodi Sundowns)

Edouard Mendy (Senegal and Al Ahli)

Orodha ya majina ya wachezaji wanaowania Tuzo ya mchezaji bora mdogo wa mwaka kwa upande wa kiume (CAF Young Player of the Year Men Nominees:)

Dango Ouattara (Burkina Faso and Bournemouth)

Abdessamad Ezzalzouli (Morocco and Betis)

Bilal El Khannous (Morocco and Genk)

Lamine Camara (Senegal and Generation Foot/Metz)

Amara Diouf (Senegal and Generation Foot)

Wachezaji wa (taifa na klabu) wanao wania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka [CAF Interclub Player of the Year (Men) Nominees:]

Aymen Mahious (Algeria and USM Alger/Yverdon-Sport)

Zineddine Belaid (Algeria and USM Alger)

Fiston Mayele (DR Congo and Young Africans/Pyramids)

Mahmoud Abdel Moneim “Kahraba” (Egypt and Ahly)

Mohamed El Shenawy (Egypt and Al Ahly)

Yahia Attiyat Allah (Morocco and Wydad Club Athletic)

Yahya Jabrane (Morocco and Wydad Athletic Club)

Peter Shalulile (Namibia and Mamelodi Sundowns)

Percy Tau (South Africa and Al Ahly)

Ali Maaloul (Tunisia and Al Ahly)

Wanao wania Tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kwa wanao sakata kabumbu nje ya Bara la Afrika kwa upande wa wanaume [CAF Player Of The Year (Men) Nominees:]

Riyad Mahrez (Al Ahli)

Andre-Frank Zambo Anguissa (SSC Napoli)

Vincent Aboubacar (Besiktas)

Mohamed Salah (Liverpool)

Yassine Bonou (Al Hilal)

Achraf Hakimi (Paris Saint-Germa)

Sofyan Amrabat (Manchester United)

Youssef En-Nesyri (Sevilla)

Victor Osimhen (Nigeria)

Sadio Mane (Al Nassr).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live