Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baada ya kuzirai Kwa Mkapa, Ally Kamwe anaendelea vizuri

Kamwe Hospital 0004 Baada ya kuzirai Kwa Mkapa, Ally Kamwe anaendelea vizuri

Sun, 25 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imethibitisha kuwa Meneja wake wa Idara ya Habari na Mawasiliano Ally Kamwe alipata changamoto ya afya na kuwaishwa hospitali muda mfupi kabla ya mechi ya Yanga na CR Belouizdad kumalizika.

Klabu ya Yanga imethibitisha kuwa Meneja wake wa Idara ya Habari na Mawasiliano Ally Kamwe alipata changamoto ya afya na kuwaishwa hospitali muda mfupi kabla ya mechi ya Yanga na CR Belouizdad kumalizika. Imeelezwa kwamba Kamwe anaendelea vizuri kwa sasa baada ya kupatiwa matibabu na ameonesha kuimarika kiafya wakati alipotembelewa Hospitalini hapo na Rais wa Yanga Hersi Said, Makamu wa Rais wa Yanga Arafaj Haji, Wachezaji wa Yanga Pacome Zouzoua na Azizi Ki na Waziri wa Madini Anthony Mavunde.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live