Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baada ya kutoka Jela, Dani Alves andaa Sherehe ya Baba yake

Dani Alves Legend Status Dani Alves

Fri, 29 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil Dani Alves amepanga kuandaa party maalumu siku ya jumanne katika nyumba yake iliyopo nchini Spain hii ni baada ya kuachiliwa huru kutoka gerezani kwa dhamana.

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil Dani Alves amepanga kuandaa party maalumu siku ya jumanne katika nyumba yake iliyopo nchini Spain hii ni baada ya kuachiliwa huru kutoka gerezani kwa dhamana. Sherehe hiyo ni ya kusherehekea kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya Baba yake mzazi Domningos Alves Da Silva.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live