Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baada ya kuruhusu magoli 10, Kocha Sudan afukuzwa kazi

Sudan Coach Hubert Velud

Sun, 12 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Sudan (Sudan FFootball Association) limemtimua kocha wa Timu ya Taifa ya nchi hiyo Hubert Velud (62) kutokana na mfululizo wa matokeo mabaya katika Kombe la Dunia la nchi za Kiarabu (FIFA Arab Cup).

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Sudan (Sudan FFootball Association) limemtimua kocha wa Timu ya Taifa ya nchi hiyo Hubert Velud (62) kutokana na mfululizo wa matokeo mabaya katika Kombe la Dunia la nchi za Kiarabu (FIFA Arab Cup). Sudan imeruhusu magoli 10 pasipo wao kufunga bao lolote katika michezo yao mitatu hatua ya makundi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live