Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Yanga yamtambulisha Augustine Okrah

Augustine Okrah #BREAKING: Yanga yamtambulisha Augustine Okrah

Sun, 31 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga SC wamemtambulisha nyota kutoka Ghana, Augustine Okrah kama mchezaji wao mpya wakimsajili katika dirisha hili dogo.

Okrah aliwahi kuitumikia Simba kabla ya kurejea kwao Ghana ambapo akiwa Simba hakufanya makubwa sana kutokana na kusumbuliwa na majeraha huku pia akitajwa kwenye matatizo ya utovu wa nidhamu.

Tukio hilo la kumtambulisha Okrah limefanyika visiwani Zanzibar wakati Yanga ikikipiga na Jamhuri ambapo mpaka mapumziko, Yanga alikuwa mbele kwa magoli 5-0.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live