Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BREAKING: Yanga wamfukuza Cedric Kaze

124EBCED B027 4EB6 8826 AD807D6B9CE5.jpeg BREAKING: Yanga wamfukuza Cedric Kaze

Sun, 7 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Baada ya mfululizo wa matokeo mabovu Club ya Yanga SC imeamua kumfuta kazi Kocha wake Mkuu raia wa Burundi Cedric Kaze pamoja na benchi zima la ufundi.

Baada ya mfululizo wa matokeo mabovu Club ya Yanga SC imeamua kumfuta kazi Kocha wake Mkuu raia wa Burundi Cedric Kaze pamoja na benchi zima la ufundi. Wengine waliofutwa kazi ni Kocha Msaidizi Nizar Khalfan, Kocha wa Makipa Vladimir Niyonkuru, Kocha wa viungo Edem Mortoisi pamoja na afisa usalama wa timu Mussa Mahundi.

Chanzo: millardayo.com