Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BREAKING: Toni Kroos atangaza kutundika Daluga

Toni Kroos Retire.jpeg Toni Kroos

Tue, 21 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Kimatafa wa Ujerumani na Real Madrid Toni Kroos (34) ametangaza kustaafu Soka ifikapo mwisho wa Msimu huu.

Kroos anaondoka Real Madrid Mwishoni mwa msimu huu na kustaafu baada ya michuano ya Euro 2024.

Toni Kroos ni miongozi mwa wachezaji ambao wamebeba kila Kombe kwa ngazi ya Klabu akiwa na vilabu vya Bayern Munich na Real Madrid.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live