Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Tanzania mwenyeji AFCON 2027

TANZANIA AFCON Tanzania mwenyeji AFCON 2027

Wed, 27 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mwaka 2027.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya, Uganda na Tanzania kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mwaka 2027. Ni rasmi michuano hiyo itachezwa katika nchi hizo tatu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live