Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: TFF yamtangaza Kocha mpya Taifa Stars

Adel Amrouche Kocha Stars Adel Amrouche

Sat, 4 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania (TFF), limemtangaza Adel Amrouche Raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Algeria Kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania.

Amrouche ana uzoefu mkubwa na soka la Afrika baada ya kufundisha klabu na timu za taifa katika ukanda Kusini, Mashariki, Kati na Kaskazini.

Adel atakuwa analipwa Mshahara na Serikali Kwa kipindi chote atakachoifundisha Taifa Stars.

Soma kwa urefu hapa chini Taarifa ya TFF,

Chanzo: www.tanzaniaweb.live