Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Singida Big Stars yauzwa (+Video)

Singida BS Yapigwa Bei #BREAKING: Singida Big Stars yauzwa

Wed, 14 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Singida Big Stars FC rasmi imeuzwa kwa Japhet Mboto Makau Mkurugenzi wa Fountain Gate Sports Academy, ambaye kuanzia sasa atakuwa mmiliki mpya wa timu hiyo iliyomaliza nafasi ya nne kwenye ligi kuu ya NBC msimu wa 2022/23.

Klabu hiyo kwa sasa imebadilishwa Jina kutoka Singida Big Stars na itaitwa Singida Fountain Gate FC.

Tazama Video zinazoelezea uuzwaji wa Timu hiyo hapa chini;



Chanzo: www.tanzaniaweb.live