Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BREAKING: Simba watangaza kumuongezea mkataba Mzamiru

Mzamiru Yassin Amesaini Mkataba Mpya Kuendelea Kusalia Katika Kikosi Chetu BREAKING: Simba watangaza kumuongezea mkataba Mzamiru

Tue, 25 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wametangaza kumuongezea mkataba mpya kiungo wao mkabaji Mzamiru Yassin.

Kupitia ukurasa wao wa Instagram, Simba wamemtangaza mchana huu kwa kuwqeka picha yake na kusindikiza na ujumbe uliosomeka hivi.

"Mzamiru Yassin amesaini mkataba mpya kuendelea kusalia katika kikosi chetu."

Picha hiyo inaonesha Mzamiru ataendelea kuwepo Simba mpaka mwaka 2026 hivyo wamemuongezea mkataba wa miaka 2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live