Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Simba watambulisha usajili wao wa kwanza, ni beki Lameck Lawi

Lameck Lawi Eliass Lameck Elias Lawi

Thu, 20 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba imetangaza kumsajili Beki Lameck Lawi akitokea katika Klabu ya Coastal Union.

Lameck anasifika kama kijana mdogo mwenye uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya beki wa kati kati.

Ni wazi sasa nafasi ya Kennedy Juma ambae ametangazwa kuachwa imezibwa na Lameck Lawi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live