Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BREAKING: Simba washusha straika mpya -VIDEO

Steven Mukwala BREAKING: Simba washusha straika mpya- VIDEO

Tue, 2 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba wameshusha straika mpya Mganda Steven Mukwala ambaye alikuwa akiichezea Asante Kotoko SC ya Ghana.

Mukwala amepewa mkataba wa mpaka mitatu hivyoi ataitumikia klabu hiyo mpaka mwaka 2027. Kwenye nafasi hiyo anayoicheza, wapo nyota wengine wa kigeni Pa Omari Jobe na Fredy Michael ambao hatma yao bado haijatangazwa.

Mukwala mwenye umri wa miaka 24, amewahi pia kuchezea Vipers SC kisha kutolewa kwa mkopo Maroons FC inayocheza Ligi Kuu ya Uganda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live