Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Simba wamtangaza Benchikha kocha mpya!

BENCHIKHA #BREAKING: Simba wamtangaza Benchikha kocha mpya!

Fri, 24 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC wamemtangaza aliyekuwa kocha wa USM Alger, Abdelhak Benchika kuwa kocha wao mkuu kumrithi Roberto Oliviera 'Robertinho'.

Robertinho alisitishiwa mkataba wake wiki mbili zilizopita kwa makubaliano ya pande zote mbili hivyo Wekundu hao wa Msimbazi walidai wangemtangaza kocha mpya wiki iliyopita lakini hata hivyo ilishindikana.

Benchikha alizaliwa Bordj Bou Arréridj, Algeria, Tarehe 22 November 1963, ana Umri wa miaka 59.

Wasifu wake:

1999–2001 CR Belouizdad 2001 MC Alger 2001–2002 Algeria U23 2002 CA Bordj Bou Arréridj 2005 CR Belouizdad 2005–2006 Umm Salal 2006–2007 ES Zarzis 2007–2009 Club Africain 2009–2010 Algeria A' / Algeria U23 2010–2011 Algeria 2011–2012 MC Alger 2011–2012 Club Africain 2013–2014 Difaâ El Jadidi 2014 Raja Casablanca 2014–2015 Al-Ittihad Kalba 2015–2017 IR Tanger 2017 Raja Casablanca 2017 Moghreb Tétouan 2018 ES Sétif 2018–2019 Al-Ittihad Tripoli 2019–2020 Mouloudia Oujda 2020–2022 DH El Jadida 2022 RS Berkane 2022–2023 USM Alger. 2023 - Simba Sports Club

Chanzo: www.tanzaniaweb.live