Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BREAKING: Simba wamtambulisha Kocha mpya wa Viungo

Kelvin Mandla Fitness Kocha wa Simba, Kelvin Mandla

Thu, 17 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabosi wa Simba katika kuhakikisha wanalisuka benchi la ufundi kuwa imara zaidi wakati huu, baada ya kumtambulisha kocha wa makipa, Chlouha Zakaria hatimaye wamemtambulisha Kelvin Mandla kuwa kocha mpya wa Viungo ndani ya kikosi hicho.

Mabosi wa Simba katika kuhakikisha wanalisuka benchi la ufundi kuwa imara zaidi wakati huu, baada ya kumtambulisha kocha wa makipa, Chlouha Zakaria hatimaye wamemtambulisha Kelvin Mandla kuwa kocha mpya wa Viungo ndani ya kikosi hicho. Kelvin Mandla raia wa Afrika ya Kusini anakuja kuzima kelele za Mashabiki waliokuwa wakilalamika wachezaji kutokua na "Fitness".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live