Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Shaiboub asaini APR ya Rwanda

#BREAKING: Shaiboub Asaini APR Ya Rwanda #BREAKING: Shaiboub asaini APR ya Rwanda

Mon, 24 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji wa Sudan, Sharaf Eldin Shaiboub Ali Abdelrahman amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia APR ya Rwanda.

Kiungo huyo mshambuliaji aliwahi pia kuitumikia Simba kabla ya kutimkia nchini kwao.

"Nimefurahi kuwa hapa APR," alinukuliwa baada ya kusaini mkataba kwenye timu hiyo inayomilikiwa na jeshi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live