Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Paul Pogba afungiwa miaka minne

Paul Labila Pogba 4 Years Paul Pogba

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Paul Pogba amefungiwa Kujihusisha na maswala ya Soka kwa miaka minne kwa makosa ya matumizi ya madawa yaliyokatazwa michezoni.

Paul Pogba mwenye miaka 30 hivi sasa atarudi tena uwanjani 2028 akiwa na umri wa miaka 34.

Maisha ya talanta yake ndani ya soka imemalizika rasmi na siku ya jumapili Juventus walivunja mkataba na kiungo huyo wa zamani wa Manchester United na Ufaransa.

Maisha ni kuchagua kazi zipo nyingi atajishughulisha tu soka kwake itabaki kama Historia tu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live