Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BREAKING: Muda na tarehe mechi za Robo Fainali Simba Yanga zatangazwa

Simba X Yanga CAF BREAKING: Muda na tarehe mechi za Robo Fainali Simba Yanga zatangazwa

Fri, 15 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muda na tarehe za mechi za Robo Fainali za Ligi ya Mabingwa kwa michezo ya Simba SC na Yanga SC umetangazwa ambapo Yanga atakipiga Marchi 30, 2024 huku Simba akitangulia Marchi 29.

Muda na tarehe za mechi za Robo Fainali za Ligi ya Mabingwa kwa michezo ya Simba SC na Yanga SC umetangazwa ambapo Yanga atakipiga Marchi 30, 2024 huku Simba akitangulia Marchi 29. Simba atakuwa nyumbani kuwaalika Al Ahly huku akiwaalika Mamelodi Sundowns. Michezo hiyo yote itapigwa kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam majira ya saa 3: 00 usiku.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live