Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Mitoma asaini Mkataba mpya Brighton

Kaoru Mitoma Kaoru Mitoma

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga wa Brighton, Kaoru Mitoma amesaini mkataba mpya wa miaka mitano kuendelea kuichezea Brighton.

Kama ilivyoripotiwa mara ya kwanza, Mshambuliaji huyu kutoka Japan alikubali mkataba mpya wiki zilizopita na sasa ameweka kalamu kwa karatasi.

Barcelona ni miongoni mwa klabu ambazo zimeonyesha nia ya kumnunua nyota huyo mwenye umri wa miaka 26.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live