Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Mechi za African Football League zasogezwa mbele

Enyimba Vs Wydad FC #BREAKING: Mechi za African Football League zasogezwa mbele

Tue, 24 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mechi kati ya Wydad Athletic Club na Enyimba FC, na Esperance Sportive de Tunis dhidi ya TP Mazembe katika Michuano ya African Football League zimepangwa tena kuchezwa October 26 badala ya October 25.

Mechi kati ya Wydad Athletic Club na Enyimba FC, na Esperance Sportive de Tunis dhidi ya TP Mazembe katika Michuano ya African Football League zimepangwa tena kuchezwa October 26 badala ya October 25. Changamoto za Usafiri zimechangia Michezo hiyo kusogezwa mbele na kupangiwa tarehe mpya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live