Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BREAKING: Mechi ya Azam vs Yanga kupigwa Kwa Mkapa

Azam FC Kuumana Na Yanga Marchi 17 BREAKING: Mechi ya Azam vs Yanga kupigwa Kwa Mkapa

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maombi ya klabu ya Azam FC kucheza mechi zake hizo mbili yalikubaliwa na Serikali na Azam FC wamejibiwa jana huku kila anaehusika akijulishwa ikiwemo Yanga na TFF/Bodi ya Ligi Kuu.

Maombi ya klabu ya Azam FC kucheza mechi zake hizo mbili yalikubaliwa na Serikali na Azam FC wamejibiwa jana huku kila anaehusika akijulishwa ikiwemo Yanga na TFF/Bodi ya Ligi Kuu. Kilichobaki ni kupanga muda wa kuanza mchezo wa Azam FC Vs Yanga SC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live