Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Lampard atimuliwa Everton

FnLDrkmX0AAg512 Frank Lampard

Mon, 23 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Everton imemtupia virago Mkufunzi Frank Lampard kufuatia kipigo cha 2-0 dhidi ya West Ham United huku klabu hiyo ikisalia nafasi ya 19 kwenye msimamo wa Ligi kuu England.

Klabu ya Everton imemtupia virago Mkufunzi Frank Lampard kufuatia kipigo cha 2-0 dhidi ya West Ham United huku klabu hiyo ikisalia nafasi ya 19 kwenye msimamo wa Ligi kuu England. Tangu ateuliwe kukinoa kikosi hicho Lampard ameiongoza Everton katika mechi 44, alishinda mechi 12 sare 8 na kupoteza mechi 24 huku akiwa na asilimia 27.3 tu za ushindi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live