Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Kocha Simba ateuliwa kuinoa Wydad

Sven Vandebroeck Sven Vandebroeck

Fri, 5 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco imemteua aliyekuwa kocha wa Simba SC, FAR Rabat na timu ya Taifa Zambia Sven Vandebroeck kuwa kocha mkuu klabuni hapo kuchukua mikoba ya Juan Carlos Garrido aliyebwaga manyanga.

Sven (43) amesaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo mpaka mwisho wa msimu.

Wydad itamsainisha mkataba wa miaka miwili ikiwa atashinda kombe la ligi sambamba na kuwavusha Mabingwa hao watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwenda fainali mbele ya Mamelodi Sundowns.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live