Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Injinia Hersi achaguliwa Mweyekiti Chama cha Klabu Afrika

Injinia Hersi Ally Said Aca Injinia Hersi achaguliwa Mweyekiti Chama cha Klabu Afrika

Thu, 30 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Yanga, Hersi Said ametangazwa na Rais wa CAF, Motsepe kuwa Mwenyektii wa Chama cha Klabu za Afrika (ACA).

Hersi ametangazwa kushika nafasi hiyo leo nchini Misri na anakuwa mwenyekiti wa kwaza akisaidiwa na Jessica Motaung wa Kaizer Chiefs na Paul Basset wa Akwa United.

Una maoni gani juu ya uteuzi huu? Tupia Comment yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: