Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Hasheem Ibwe Afisa Habari Azam FC

Hasheem Ibwe Mtangazaji wa Azam Tv, Hasheem Ibwe atangazwa kuwa Afisa Habari Azam FC

Tue, 18 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Azam FC imemtangaza mtangazaji Hasheem Ibwe kama Kaimu Afisa Habari wa timu hiyo kuanzia Oktoba 18, 2022 hadi hapo itakapotangaza vinginevyo.

Klabu ya Azam FC imemtangaza mtangazaji Hasheem Ibwe kama Kaimu Afisa Habari wa timu hiyo kuanzia Oktoba 18, 2022 hadi hapo itakapotangaza vinginevyo. Uamuzi huo umekuja baada ya aliyekuwa Afisa Habari, Thabit Zakaria kufungiwa miezi mitatu kwa kosa la kuwashutumu waamuzi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live