Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BREAKING: England yakumbana na adhabu, kucheza bila Mashabiki

Enland Squad Kikosi cha England

Mon, 18 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya taifa ya England imeamriwa kucheza mchezo wao ujao wa mashindano ya UEFA bila mashabiki, kutokana na vurugu zilizofanywa na Mashabiki wake wakati wa fainali za michuano ya Euro.

Mbali na adhabu hiyo, Chama cha Soka cha England FA, pia kimepigwa faini ya Euro 100,000 kwa kushindwa kuwadhibiti Mashabiki hao

UEFA pia imeaagiza FA kushirikiana na mamlaka zinazohusika kufanya juhudi zao na kuchukua hatua dhidi ya waliohusika na kuwawajibisha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live