Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: Azam FC yamtema Mudathir Yahaya

Mudathir Yahaya Abbas Mudathir Yahya Abbas

Mon, 1 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Matajiri wa Jiji, Klabu ya Azam FC, imethibitisha kuachana na mchezaji wake wa muda mrefu, Mudathir Yahya Abbas, baada ya mkataba wake kumalizika tangu Juni 30, mwaka huu.

Azam FC, imetumia mitandao yake ya kijamii kumtakia kila la heri mchezaji huyo katika kazi yake ya mpira na wamemkaribisha klabuni hapo wakati wowote.

Mudathir Yahaya alijiunga na Azam FC mwaka 2011, akidumu klabuni hapo kwa zaidi ya miaka 10.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live