Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#BREAKING: ASEC Mimosas yawasili Dar, Kocha afunguka (+Video)

Mimosas Kikosi cha Asec Mimosas

Thu, 10 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya ASEC Mimosas kutokea nchini Ivory Coast imewasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere leo Februari 10.

Asec watavaana na Simba katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika Barani Afrika hatua ya Makundi.

Mchezo huo utapigwa Jumapili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku wakidai kuwa wamekuja kwa lengo la ushindi tu.

Tazama video hapa chini kusikiliza Kocha Mkuu wa Kikosi hicho alichokizungumza;

View this post on Instagram

A post shared by BARAKA MPENJA (@baraka_mpenja)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live